Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ni chombo ambacho kinatuwezesha kupanua zaidi njia ya mawasiliano kwa wateja wetu na wadau wetu wengine. Hivyo basi, tunathamini muda wako wa kututembelea kwenye Tovuti yetu.
Ni matumaini yetu kuwa utafurahia kuperuzi na kuchukua vitu muhimu pamoja na kujua huduma na mipango yetu ya maendeleo na kutoa maoni yako kupitia sehemu za wasiliana nasi au malalamiko.
Asante sana!
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.