Ujenzi wa mnara katika eneo la Mnyakongo - NHC wakaribia kukamilika ambao utakuwa mkombozi wa mawasiliano ya sauti na data katika eneo hili
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratias Ndejembi amewataka wanufaika wa Mradi wa TASAF kutumia fedha wanazopewa kuendeshea shughuli za kujiongezea kipato. Mhe. Ndejembi amesema hayo wakati wa ziara ya kikazi katika Kijiji cha Ugogoni Wilayani Kongwa, Novemba 10, 2021.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 737 798 222
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.