Imewekwa: October 30th, 2020
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kongwa Dkt. Omary A. Nkullo amemkabidhi Mhe. Job Yustino Ndugai Hati ya Kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa leo tarehe 30 Oktoba 2020 katika Ofisi ya Mkurugenzi M...
Imewekwa: August 12th, 2020
Kituo cha Afya Ugogoni kimeanza kutoa huduma ya upasuaji, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg. Dkt. Suleiman Serera amezindua huduma leo tarehe 11 Agosti, 2020.
Akizungumza na Wananchi, Ndg. Dkt. ...
Imewekwa: August 12th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg. Dkt. Suleiman Serera awahasa viongozi wa kata ya Ngomai kucha mara moja mchezo wa kuchochea migogoro. Ameyasema haya katika ziara yake kwa Tarafa ya Mlali, iliyoanza kat...