Imewekwa: December 7th, 2018
Wananchin wa Wilaya ya Kongwa wanapaswa kuzingatia mambo ya msingi hususani matumizi ya vyoo bora ili kuepuka magonjwa ya kuambukiza na mlipuko kwa ajili ya kujenga Tanzania ya Viwanda pasipokuwa na a...
Imewekwa: November 29th, 2018
Katika kuendelea kuhamasisha jamii kujenga na kutumia vyoo bora kupitia kampeni ya Taifa ya Usafi inayoratibiwa na Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee, na Watoto, Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa itaendesha ...
Imewekwa: November 14th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imepokea viti 80 na kompyuta 15 toka kwa Benki ya Biashara ya Taifa (NBC) ambapo viti hivyo na kompyuta hizo zitaelekezwa katika ofisi mbalimbali kwa matumizi ya ofisi....