Imewekwa: July 14th, 2021
Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa Angelina Mabula amezungumza na Wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kibaigwa kuhusu Migogoro ya Ardhi kama sehemu ya utekelezaji wa Maagiz...
Imewekwa: July 12th, 2021
Na Stephen Jackson - Kongwa
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel, Ametembelea Gereza la Wilaya ya Kongwa siku ya Jumatatu Julai 12, 2021 na kukagua Miradi inayotekelezwa na Gereza ...
Imewekwa: July 8th, 2021
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kutatua kero zinazowakabili kwa muda mrefu Wakazi wa eneo la Kibaigwa wilaya ya Kongwa.
Miongoni mwa Kero hizo ni Tatizo la umeme ...