Imewekwa: November 8th, 2022
Wakazi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kibaigwa, wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotokana na mikutano ya Kliniki ya Ardhi.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema...
Imewekwa: October 28th, 2022
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel, amewataka wafanyakazi wa ajira Mpya kuzingatia Maadili ya Kazi na kutumia ubunifu katika kazi zao Ili kuyamud...
Imewekwa: October 25th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imegawa jumla ya lita 446 za maziwa sawa na pakiti 1783 zenye thamani ya shilingi 1,248,100.00 kwa wanafunzi wa darasa la awali na la kwanza kwa shule 5 za Msingi...