Imewekwa: August 19th, 2023
Na Stephen Jackson, Kongwa DC
Kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa (LAAC) imewapongeza viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa kusimamia vizuri ujenzi wa miradi kupitia Fedha zina...
Imewekwa: July 27th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imepongezwa kwa kupata hati safi kwa mwaka wa Fedha ulioishia Juni, 2022.
Pongezi hizo zimetolewa na Viongozi mbalimbali katika Mkutano wa baraza la Madiwani uliofan...
Imewekwa: July 5th, 2023
Mkurugenzi mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Nchini Tanzania Bi. Sarah Gordon-Gibson ametembelea soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa Julai 5, 2023 kwa nia ya kujionea hali halisi ya utendaji...