Imewekwa: January 14th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mheshimiwa Mayeka Simon Mayeka amezuia shughuli zote za kibinadamu zilizokuwa zikifanyika katika maeneo ya hifadhi ya mazingira katika misitu iliyopo katika safu za milima ya ...
Imewekwa: January 12th, 2025
Wanafunzi wa chuo kikuu cha St John's Dodoma wametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa na kufanya usafi wa mazingira Pamoja na kutoa msaada wa mashuka 50, sabuni, maji, na viburudisho kama biskuti ...
Imewekwa: January 6th, 2025
Wanafunzi 119 wenye mahitaji maalum waliopo katika kituo kilichopo Shule ya Msingi Mkoka wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanakabiliwa na ukosefu wa vitimwendo.
Hayo yamesemwa na Bwana Furaha Mwashili...