Imewekwa: March 10th, 2025
Mkuu wa wilaya ya Kongwa Mheshimiwa Mayeka Simon Mayeka amewahimiza akina baba kubeba na kulea watoto wao kwani malezi ni ya pande zote mbili na kitendo hicho hakiondoi maana na thamani ya baba bali k...
Imewekwa: March 6th, 2025
Wanawake wametakiwa kuzingatia malezi ya watoto kwa kuwalea watoto wote kwa pamoja bila kubagua. Wanawake pia wamekumbushwa zama za zamani ambapo kulikuwa na msemo wa, ‘mtoto wa mwenzako ni wako.’
...
Imewekwa: March 4th, 2025
Shule 130 za Msingi zilizoandikisha jumla ya wanafunzi 7986 waliofanya mtihani mwaka 2024, zimefanikisha kufaulisha idadi ya wanafunzi 7321 waliofaulu Kwenda kidato cha kwanza, sawa na asilimia 91.67 ...