• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

TUWAFATILIE WANAFUNZI WANAOTAKIWA KURIPOTI KIDATO CHA KWANZA

Imewekwa: January 29th, 2026

TUWAFATILIE WANAFUNZI WANAOTAKIWA KURIPOTI KIDATO CHA KWANZA.

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari Kongwa DC

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka Simon Mayeka amewataka Waheshimiwa Madiwani, Watendandaji wa Vijiji na Kata pamoja na Walimu kwa ujumla kufuatilia kwa karibu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2026 ili waweze kuripoti shule kuanza masomo na kupata haki yao ya msingi ya kupata elimu.

Mhe. Mayeka ameyasema hayo katika kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya pili inayoanza Oktoba hadi Desemba 2025 cha kujadili taarifa za kamati za kudumu za Halmashauri na taarifa za taasisi mbalimbali ambapo amesema kuwa suala la uandikishaji wanafunzi wa Awali, Msingi na Sekondari ni endelevu wanafunzi wote ambao bado hawajaripoti kidato cha kwanza wanafahamika hivyo wafatiliwe na kurudishwa shuleni.

Vilevile Mhe. Mayeka amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kufuatilia kwa karibu suala la akaunti za Vijiji kama zinafanya kazi kama inavyotakiwa kwani kuna baadhi ya vijiji vina akaunti lakini hawazitumii ipasavyo suala linalopelekea matumizi ya fedha kutokuwa  na utaratibu mzuri.

Akiongea katika kikao hicho mwakilishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bw. amesema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ameagiza Halmashauri kutoa elimu ya Bima ya Afya kwa wote kwa Wananchi ili waweze kuielewa, amesisitiza uandikishaji wa Wananchi katika daftari la wakazi na kusimamia miradi yote ya maendeleo ili iweze kukamilika ifikapo 30 Marchi Mwaka huu.

Nae Mbunge viti maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Jesca Mbogo amepongeza uongozi wa Wilaya ya Kongwa kwa jitihada kubwa unaofanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya maji kwani hali ya upatikananji wa maji katika Wilaya ya Kongwa kwa sasa haifanani na ya miaka ya nyuma.

Kwa upande wake meneja wa mamlaka ya Maji safi Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Kongwa Mhandisi Fransis Mallya amesema kuwa hali ya upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Kongwa umefikia 64% licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali za wateja kutolipia ankara za maji kwa wakati.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MIL 75 KUNUFAISHA KIKUNDI CHA VIJANA WAZALENDO KONGWA

    February 16, 2026
  • DUWASA WAPANDA MITI ENEO LA CHANZO CHA MAJI KIBAIGWA

    January 29, 2026
  • TUWAFATILIE WANAFUNZI WANAOTAKIWA KURIPOTI KIDATO CHA KWANZA

    January 29, 2026
  • MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE WAANZA KUTUMIKA

    January 26, 2026
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto