• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

MADIWANI KONGWA WAASWA KUDUMISHA UMOJA NA USHIRIKIANO

Imewekwa: December 5th, 2025

MADIWANI KONGWA WAASWA KUDUMISHA UMOJA NA USHIRIKIANO

Na Bernadetha Mwakilabi

Habari Kongwa DC

Madiwani wateule wa Kata 22 za Wilaya ya Kongwa pamoja na Madiwani wateule wa viti maalum wamekula kiapo cha uadilifu mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kongwa leo Desemba 05 2025, katika Mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani Wilaya ya Kongwa uliohudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Wilaya, Mkoa pamoja na Wananchi.

Baada ya kula kiapo Waheshimiwa Madiwani wamepata fursa ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ambapo Mhe. White Zuberi Mwanzalila ameibuka kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti na Mhe. Richard Mwite ameibuka mshindi wanafasi ya Makamu Mwenyekiti.

Akiongea katika Mkutano huo mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ndg. Peter Gujenji amewasisitiza Waheshimiwa Madiwani kuwa na umoja na ushirikiano kufanya kazi kwa bidi kwa mujibu wa sheria kanuni na taratibu za Halmashauri na kusisitiza Halmashauri kuhakikisha inawapatia Semina elekezi Madiwani hao ya kuwaelekeza namna ya uendeshaji wa shughuli za Kiserikali.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka Simon Mayeka licha ya kuwapongeza Madiwani kwa nafasi waliyoipata ya kuaminiwa na Wananchi lakini pia amewataka kuvunja makundi yaliyojitengeneza wakati wa Uchaguzi na badala yake waungane kwa umoja wao ili wajikite katika kusimamia miradi ya maendeleo iliyopo katika Kata zao na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora unaotakiwa.

Akiwakilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri katika kipindi ambacho Baraza la Madiwani lilikuwa limevunjwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amebainisha kuwa Halmashauri ilifanikiwa kutoa Milioni 632 kwa ajili ya kutekeleza shughuli za miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa jengo la upasuaji katika Kata ya Lenjulu.

Akiongea wakati wa kufunga mkutano huo wa Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Mhe. White Zuberi amewashukuru Wananchi kwa kuwaamini na kuahidi kufanya kazi kwa bidii na umoja na kwa kushirikiana ili Wananchi wapate maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI -JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA - JIMBO LA KONGWA. October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA KONGWA October 14, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini September 23, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MIL 75 KUNUFAISHA KIKUNDI CHA VIJANA WAZALENDO KONGWA

    February 16, 2026
  • DUWASA WAPANDA MITI ENEO LA CHANZO CHA MAJI KIBAIGWA

    January 29, 2026
  • TUWAFATILIE WANAFUNZI WANAOTAKIWA KURIPOTI KIDATO CHA KWANZA

    January 29, 2026
  • MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE WAANZA KUTUMIKA

    January 26, 2026
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto