• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kongwa District Council
Kongwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi & Zima moto
      • Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Madini
    • Biashara
    • Viwanda
    • Mawasiliano
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za TEHAMA
    • Usimamizi & Ufuatiliaji wa Miradi
    • Huduma za Ushauri na Ufundi
    • Ruzuku ya Kunusuru Kaya Masikini
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Inayoendela
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
    • Miradi iliyokamilika
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala
      • Maendeleo ya Jamii
      • Nishati
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
    • Gazeti la Serikali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Shughuli za Maendeleo
  • Michezo
    • Michezo
    • Sanaa

Baraza la Biashara Kongwa laipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Imewekwa: December 22nd, 2021

Na Stephen Jackson, Kongwa.

Baraza la Biashara katika Halmashauri ya wilaya ya Kongwa limeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utendaji wake wa sasa unaozingatia haki za msingi za Wafanyabiashara.

Pongezi hizo zimetolewa na Mjumbe na mfanyabiashara Dina Mlay wakati akichangia mada Katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika Tarehe 21 Disemba, 2021 katika Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kongwa.

‘’TRA siku hizi ni rafiki kabisa wa mfanyabiashara. Ukifika ofisini unaelezea shida yako, unasikilizwa vizuri. Mimi nimefika huko mara nyingi Ninasaidiwa vizuri, ni biashara yako imekwama, unataka kupunguziwa kodi, wanafanya hivyo kufuatana na mahesabu yako.’’  Alisema Dina Mlay .

Mfanyabiashara huyo anayejihusisha na usindikaji unga  na uwekaji wa virutubisho, ameiomba TRA kutoa Elimu ya kutosha kwa wafanyabiashara ili waweze kutatua changamoto zinazowakabili.

Akijibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa na wajumbe wa baraza, Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) tawi la Kongwa ndugu Omari Rajabu, alifafanua kuwa muda wa kubadilisha ‘’QR Code’’ kwenye Mashine za EFD, gharama elekezi Ilikuwa ni TZS. 80,000/= ambapo takribani wafanyabiashara wote Wilayani  Kongwa walibadilisha.

Aliongeza kuwa, watumiaji wapya wa Mashine za ‘’EFD’’ wanatakiwa kufika Ofisi za Mamlaka hiyo ndani ya mwaka husika wakiwa na risiti walizonunulia ili waweze kurejeshewa fedha zao. ‘’Kwa mfanyabiashara ambaye kwa mara ya kwanza ananunua Mashine ya ‘’EFD’’ inampasa aje ofisini akiwa na risiti ya ile mashine na barua ya kuomba kufidiwa kodi yake  kwenye ile mashine, Kwa hiyo tunawakaribisha waje ofisini.’’ Ametanabaisha Ndugu Rajabu.

Kuhusu Kodi ya majengo ya TZS,1000/= kwa Mwezi  inayotozwa kupitia malipo ya umeme, amewataka wahusika wote ambao kwa mujibu wa sheria hawapaswi kukatwa kodi hiyo wakiwemo wazee wenye umri kuanzia miaka sitini (60)wenye nyumba moja isiyo ya kibiashara wafike ofisi za TRA kwaajili ya kujitoa.

Akihitimisha kikao hicho cha Baraza la biashara, Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emanuel amewashukuru wajumbe wote kwa michango yao na kuwataka kuwa wawazi ili kuleta mshikamano. ‘’Tunahitaji uwazi ili uweze kutusaidia. Tukiwa wawazi maana yake tutakuwa na kitu kimoja tu kinachotuunganisha’’. Alisema Mhe. Emmanuel. 

Mkuu wa Wilaya ametumia pia fursa hiyo kuwapongeza wadau mbalimbali wa maendeleo walioshiriki kikao cha baraza hilo na kuwataka kufikisha ujumbe wa kikao hicho katika maeneo yao ili kuleta Mabadiliko.

Taasisi nyingine zilizoshiriki Baraza hilo ni NMB, RUWASA na PANITA, ambapo baadhi yao walichangia mada kuhusu mwelekeo wa namna ya kuboresha huduma za maji na lishe katika wilaya ya kongwa.

Baraza la biashara Konwa limefanyika tarehe 21 Disemba 2021, na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Makamu mwenyekiti wa Halmashaauri, Baadhi ya Wakuu wa Idara  na vitengo vya Halmashauri, wenyeviti wa Kamati za kudumu (Madiwani), Wafanyabiashara na Taasisi za umma na binafsi.

Matangazo

  • Majina ya mipaka ya vijiji na vitongoji vilivyopo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. October 16, 2024
  • TANGAZO LA MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 16, 2024
  • Tangazo la nafasi za ajira za mkataba October 07, 2024
  • Tangazo la kufunguliwa kwa dirisha la utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu- Oktoba 1 2024 October 02, 2024
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • MGOGORO WA MPAKA CHIGWINGWILI - HOGORO KUTAFUTIWA UFUMBUZI.

    May 08, 2025
  • VIKUNDI VYASISITIZWA KUWA NA USHIRIKIANO MZURI NA VIONGOZI PAMOJA NA WATAALAM

    May 05, 2025
  • VIKUNDI 21 VYAKABIDHIWA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YA HALMASHAURI

    April 28, 2025
  • DC MAYEKA AKABIDHI MISAADA

    April 27, 2025
  • Tazama Yote

Video

zoezi la uandikishwaji daftari la Mpiga Kura kuanza 11-20 Oktoba, 2024
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalmbali
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Miongozo
  • Miradi iliyokamilika
  • Miradi inayoendelea
  • Taarifa kwa Umma
  • Zabuni
  • Kituo cha Biashara (OSBC) Kongwa
  • Orodha ya Madiwani na Mawasiliano

Viunganishi Linganifu

  • Time huru ya Uchaguzi
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA)

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Rekodi ya Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

    Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma

    Simu ya Mezani: +255 26 2370031

    Simu ya Mkononi: +255 713399349

    Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti
    • Tahadhari kwenye Barua pepe

Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.