Tuesday 8th, October 2024
@Kongwa DC
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Elimu Mhe. Charles E. Msonde atafanya ziara ya Siku moja ya Jumamosi tarehe 31 Disemba, 2022 Kwa lengo la kukagua miradi Mbalimbali hususani ujenzi wa Vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.