Sunday 8th, December 2024
@Kongwa Makao Makuu, Mlanga na Norini
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge kutembelea Wilaya ya Kongwa tarehe 17 Januari 2018.
Katika ziara hii atapokea taarifa ya Wilaya kuhusu sekta za Elimu na Kilimo, pia atatembelea Kitongoji cha Mlanga na Kijiji cha Norini kukagua shughuli za Elimu na Kilimo.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.