Sunday 8th, December 2024
@Mkoka na Songambele
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Sitaki Senyamule, kesho tarehe 1 Septemba, 2022 atafanya ziara ya siku Moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa lengo la kujitambulisha. Pamoja na utambulisho huo, pia atakagua miradi na hatimaye kuzungumza na wananchi Katika maeneo ya ziara ikiwemo mkutano wa Hadhara utakaofanyika Kijiji Cha Songambele.
Wananchi wote mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.