Sunday 8th, December 2024
@Ibwaga - Mlima Ibwaga
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa inatarajia kufanya uzinduzi wa Kampeni ya Kukijanisha Mlima Ibwaga na Kongwa yote ambapo miti (miche) elfu sita (6,000) itapandwa siku hiyo katika kingo za Mlima Ibwaga.
Wananchi wa Kongwa walio jirani na maeneo ya Mlima Ibwaga na wadau wa mazingira wanakaribishwa kushiriki katika zoezi la upandaji miti siku ya uzinduzi.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.