Sunday 8th, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano Halmashauri ya Kongwa
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kufanya mkutano wa Baraza leo tarehe 26/01/2018 kujadili taarifa za robo ya piliya mwaka wa fedha 2017/2018.
Mkutano huu unafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa. Aidha, wageni toka Halmashauri za Mkoa wa Dodoma (madiwani na Wakurugenzi) watafika kujifunza namna Kongwa inavyoendesha Baraza lake kwa ufanisi.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.