Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia wananchi wote kuwa kuna nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa kipindi cha kuanzia Desemba 2020 – Desemba 2025. Kwa maelezo zaidi pakua nyaraka hii TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.