Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kongwa Dkt. Omary A. Nkullo amemkabidhi Mhe. Job Yustino Ndugai Hati ya Kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa leo tarehe 30 Oktoba 2020 katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Dr. Suleiman Serera akabidhi Pikipiki 10 kwa kikundi cha vijana waendesha Bodaboda pamoja na kubariki mkopo wa #wanawake wajasiriamali, hii ikiwa ni moja ya utelelezaji wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kama
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 737 798 222
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2020 Kongwa District Council . All rights reserved.